Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Angelina Adriano Maganga amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kwa ajili ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Solwa Mkoani Shinyanga.