Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Majengo jijini Tanga,Salim Perembo ,leo amechukua fomu ya kutetea nafasi hiyo kupitia cha Mapinduzi ( CCM ).
Perembo anatarajiwa kuchuana na watia nia wengine kwa ajili ya kuongoza kwa muhula wa pili kwenye kata hiyo iliyopo katikati mwa Jiji la Tanga na ndiyo kata pekee yenye Viwanda vingi katika Mkoa wa Tanga pamoja na Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Tanga.