Mungu Wangu ni Mwema ni wimbo unaoelezea wema wa Mungu kwenye maisha yetu ya kila siku, hata pale tunapopotea yeye anaturudisha na kutupokea tena kwa upendo.
Wimbo: Mungu ni Pendo
Muimbaji: Agness Gregory
Studio: RichSound
Solo Guitar: Dani Solo
Mawasiliano/WhatsApp: +255654108040
Facebook: Agness Geregory
Instagram: Agness Geregory