Prophet Suddenly ni filamu ya Kikristo inayoonyesha ni namna gani watu wanatamani kuwa watumishi wa Mungu kwa ajili ya fedha na kuuruka mchakato wa kukaa chini ya watumishi na kufundishwa na kuamua kutumia nguvu za giza na kuishi kufanya ibada za uongo, kutabiri uongo na kutumia nguvu za giza ili kuwahadaa watu.
Filamu hii imechezwa na kundi la The Winlos kutoka nchini Nigeria kundi ambalo linatengeneza filamu fupi zenye maadili ya Kikristo, na kwenye filamu hii nzuri wamemshirikisha mtumishi wa Mungu Apostle Arome Osayi.
Barikiwa unapotazama Filamu hii