Na Bukuru Daniel – Burundi
Kamati kuu ya chama kikuu cha kisiasa cha upinzani nchini Burundi CNL kimemsimaisha Agathon Rwasa kwa muda usiojulikana kama kiongozi wachama hicho.
Kwa mjibu wa waraka ambao umesainiwa na wajumbe 10 wa CNL wanasema kuwa wamemsimamisha katika shughuli zote za chama hicho na kuwa mwakilishi mbele ya sheria.