ada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nyachiro Maiga Magoggo ameonesha dhamira ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini.
Magoggo amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini.