Bwana Yesu asifiwe, Kanisa la Christian Gospel Revival Assembly (CGRA) Madhabahu ya Ukombozi na Urejesho linakukaribisha katika Kongamano kubwa la Neno la Mungu linalofanyika kila mwaka mwezi wa 7.
Mwaka huu Kongaman hilo litafanyika kuanzia tarehe 24 mpaka 29 mwezi wa 7.
Kongamano hili litahudhuriwa na watu kutoka mikoa mbambali kama vile Shinyanga, Arusha, Kilimanjara, Pwani, Kigoma, Dar es Salaam, Mbeya na maeneo mengine mengi.
Watu kutoka maeneo mbalimbali mnakaribishwa kuja kushiriki katika Kongamano hili ili kujifunza Neno la Mungu na kupata huduma ya Maombi na Maombezi.
Watu wengi wamefunguliwa na kuwekwa huru na huu ni wakati wako. Karibu sana na Mungu akubariki.
Kwa maelekezo zaidi piga simu namba +255754305957
Tufuate kwenye YouTube Channel yetu Divine Tv Online