Na Bukuru Daniel – Burundi
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Burundi, Albert Shingiro amesema kuwa bado kuna safari ndefu kuhusiana na uheshimishwaji wa haki za binadamu.
Hayo ameyasema wakati wa mazungumzo na wajumbe wa Umoja wa Ulaya katika mkutano ambao umefanyikia katika mji mkuu wa kibiashara wa Bujumbura.