Klabu ya Al Hilal imetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wachezaji wake watatu Fabrice Ngoma, Lamine Jarjou na Ibrahim Imoro ambao wamevunja mikataba bila kufuata Sheria sahihi.
Al Hilal inasema Nyota hao wamevunja mikataba bila kufuata taratibu, na watachukua hatua za kisheria dhidi yao.