WAKIWA wanasuka mipango kwa umakini kuboresha kikosi cha Yanga kwa ajili ya msimu wa 2023/24, bosi mzito wa timu hiyo ameweka wazi atawafuata wachezaji popote watakapokuwa.
“Hiyo baada ya kutokea vuta nikuvute kati ya Simba na Cotton Sports iliyotaka kitita hicho cha fedha ili muachie ambacho Simba walikuwa hawapo tayari kutoa pesa hizo.
“Simba imefanikisha dili hilo haraka na tayari staa huyo ametakiwa kutua nchini haraka kwa ajili ya utambulisho na acheze michuano ya Super Cup,” alisema bosi huyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ juzi alizungumzi hilo la usajili kwa kuwaambia mashabiki wa timu hiyo, kuwa “Tumepanga kufanya usajili katika kuelekea usajili wa msimu ujao.
lilifunguliwa rasmi na linatarajiwa kufungwa Agosti 31, mwaka huu kuendana na taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ambayo ilieleza kuwa hakutakuwa na muda wa ziada.
Yanga inatajwa kumalizana na Zougrana Mohamed ambaye ni kiungo kutoka ASEC Mimosas, huku ikifanya mazungumzo ya kumuogezea mkataba mshambuliaji Fiston Mayele aliyeibuka mfungaji bora baada ya kutupia mabao 17 msimu wa 2022/23.
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ameweka wazi kuwa wakati wa usajili wataingia sokoni kwa umakini kuwaongeza wachezaji bora, watakaoongeza ushindani kwenye timu hiyo kwa mbinu ya kipekee.
“Inapofika suala la usajili inajulikana namna ambavyo huwa tunafanya kazi na ambacho kinatokea tunapokuwa tunahitaji mchezaji baada ya kumfuatilia kwa umakini jina likifika hapa kazi imekwisha.
“Wanajua shughuli ambazo huwa tunafanya tumefanikisha usajili wa wachezaji wengi na hizo ni kazi ambazo ninazimudu, hivyo hakuna ambacho kitashindikana,” alisema Hersi.