Na Bukuru Daniel – Burundi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeipongeza Burundi kwa kuithamini na kuienzi lugha ya Kiswahili na kuhakikisha inakua.
Hayo yamezungumza na Balozi wa Tanzania nchini Burundi DKT Jilly Elibariki Maleko katika maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani ambayo yamefanyikia katika chuo kikuu cha Burundi mjini Bujumbura.