Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imekubali kichapo cha 2-0 dhidi ya wageni, Morocco katika dimba la Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa pili wa hatua ya makundi wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026.
FT: TANZANIA 0—2 🇲🇦 MOROCCO
⚽ Ziyech 28’
⚽ Mwaikenda (og) 54’
FT: Niger 🇳🇪 2—1 🇿🇲 Zambia
⚽ Moutari 6’
⚽ Goumey 28’
⚽ Daka 50’