TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WA MWAKA 2024
Limetolewa chini ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za Mwaka 2024 (Matangazo ya Serikali Na. 571, 572, 573 na 574 ya mwaka 2024)
Kwa Tangazo hili, Wananchi wote wanaombwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha, kupiga kura, kugombea na kushiriki katika Uchaguzi huu ili kupata viongozi bora wa Serikali za Mitaa kwa maendeleo ya nchi yetu.
Kuchukua fomu za kugombea 01 Novemba, 2024,Kuanza kwa kampeni 20 – 26 Novemba, 2024, Siku ya Uchaguzi 27 Novemba, 2024
SOMA TANGAZO LOTE HAPA CHINI