Azam Fc imetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 2-1 dhidi ya APR Fc ya Rwanda kwenye mchezo wa hatua ya awali.
FT: APR FC 2-0 AZAM FC
Ruboneka 45’
Mugisha 62’
APR Fc wametinga raundi ya kwanza ambapo watachuana na Pyramids ya Misri.