
Bwana Yesu afiwe, ninapenda kukchukua muda huu kukukaribisha katika semina ya Ndoa na Familia itakayofanyika kuanzia siku ya leo tarehe 13, 14 na tarehe 16 (Alhamisi, Ijumaa na Jumapili) kila siku kuanzia saa 08:30 mchana hadi saa 12 jioni katika Kanisa la Christian Gospel Revival Assembly (CGRA) Kahama.