Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na...
KITAIFA
Mradi wa Ubunifu wa FUNGUO unaotekelezwa na UNDP hapa Tanzania kwa ufadhili wa na Umoja wa Ulaya na mfuko waIMBEJU wa CRDB Bank Foundation, imeamua kushirikiana ili kubadilisha mwenendo wa ufadhili wa wajasiriamali wabunifuhapa nchini. Ushirikiano huu wa kimkakati unalenga kutumiaruzuku inayotolewa na Umoja wa Ulaya kwa kampuni changa nakufungua fursa ya kupata mikopo ya riba na masharti nafuukutoka kwa CRDB Bank Foundation, ili kuongeza uwezo wakimtaji kuwawezesha wajasiriamali kukua kwa haraka zaidi. Tangu kuanziswa kwake mwaka 2022 kwa ufadhili kutoka Umoja wa Ulaya kupitia mpango wa BEGIN unaoratibiwa na kitengacha mazingira ya biashara katika Ofisi ya Rais – Mipango naUwezeshaji, FUNGUO imewekeza zaidi ya TZS bilioni 3.8 katika kampuni changa 43, ikichangia katika kutengeneza nakuendeleza takribani ajira 4000 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa kwa vijana wa Tanzania. Dhamira ya mpango huu nikuongeza idadi ya kampuni za ubunifu zenye uwezo wa kustawiharaka ili kuharakisha kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevuya Tanzania. Wafadhili wengine wa mradi wa FUNGUO nipamoja na Serikali ya Uingereza kupitia mpango wa Africa Technology and Innovation Partnerships (ATIP) na UNDP katikamkakati wake wa kuwawezesha vijana kiuchumi. Mwaka huu, FUNGUO imepanga kutoa hadi TZS bilioni 1.4, ikilenga kwa makusudi kuwawezesha wanawake walioanzishabiashara zenye ubunifu ndani yake....
WANAFUNZI 45,693 mkoani Shinyanga, wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya darasa la saba, huku Mkuu wa...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametembelea na kukagua Mradi wa Miji 28 Chato mkoani Geita. Mradi huu...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 10, 2024 anafunga mkutano maalum wa viongozi, wataalam na wadau wa...
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeenda Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa, ambalo litafanyika Mkoani...
Rais Samia Suluhu Hassan amepokea kwa huzuni kubwa taarifa za kifo cha Askofu Chediel Elinaza Sendoro, wa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi...
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka wananchi kuendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya...
