Na Bukuru Elias-Burundi
Msemaji wa Benki kuu ya Burundi, Robert Bellarmin Bacinoni ameonya kuwa watakao kataa noti za zamani wakati muda wake haujamalizika wataadhibiwa vikali kwa mjibu wa sheria.
Hivi karibuni Benki ya BRB ilitangaza kubadilisha noti za Elfu Tano na Elfu Kumi kufikia siku ya Jumamosi wiki hii.
Ripoti yake Bukuru Elias kutoka Burundi inafafanua zaidi.