Na Bukuru Elias-Burundi
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 89 yupo mikononi mwa jeshi la polisi kwa shutuma za ubakaji dhidi ya mtoto mdogo wa kike wa miaka minne katika kijiji cha Nkanka,kata ya Butezi wilaya ya Giharo mkoani Rutana.
Ripoti ya Bukuru Elias kutoka Burundi inaeleza