
Na Bukuru Daniel – Burundi
Msemaji wa chamacha upinzani nchini Buurndi”CNL” mbunge Simon Bizimungu amesema kuwa tume ambayo imetangaza kumuondoa Agathon Rwasa katika uongozi wa chama hicho imekiuka sheria.
Tume hiyo inamshutumu Agathon Rwasa kuhujumu uchumi wa chama na kukifanya chama kama shamba lake.