Naibu Waziri wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amefunguka kupongeza mashabiki waliojitokeza katika kushuhudia Fainali ya Ngao ya Jamii.
Lakini pia Waziri Mwinjuma amefafanua zaidi kuwa watanzania wengi wanapenda michezo ni muhimu kusapoti klabu zako katika nyanja tofauti tofauti ili kuzidi kukuza Mpira wa Miguu nchini.