PSG imeendeleza mwenendo mzuri wa ushindi kwenye mechi ya pili mfululizo kufuatia ushindi wa 6-0 dhidi ya Montpellier katika dimba la Parc des Princes (Paris)
FT : PSG 6-0 Montpellier
4’ Barcola ( Neves)
24’ Asensio ( Neves)
53’ Barcola ( Dembele)
58’ Hakimi ( Mendes)
60’ Zaire -Emery ( Dembele)
82’ Lee Kang- In ( Hakimi)
Kwenye mechi mbili za ufunguzi wa Ligi PSG imefunga jumla ya magoli 10 na kuruhusu bao moja.
4-1 vs Le Havre
6-0 vs Montpellier