Bwana Yesu asifiwe, kanisa la CGRA linakukaribisha katika Ibada za katikati ya juma (Alhamisi na Ijumaa) kuaniza saa 08 na nusu mchana hadi saa 12 kamili jioni.
Wiki hii tutakuwa na Ibada ya Operesheni Komboa Familia na Kuondoa Makunyanzi.
Mtu wa Mungu, Jovin Mwemezi atakuwepo kuhubiri na kuombea wote wenye mahitaji.
Karibu na Mungu akubariki.