Fiston Mayele ametetema katika dimba la Benjamin Mkapa baada ya kuifungia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bao la pili dhidi ya Ethiopia katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025.
Ethiopia 0-2 DR Congo
62’ Bongonda
76’ Fiston Mayele
Lesotho 0-1 Morocco
Angola 2-1 Sudan
Niger 1-1 Ghana
EQ Guinea 2-2 Togo
Burundi 0-1 Senegal
Madagascar 1-1 Comoros
Uganda 2-0 Congo Brazzaville