Tangazo la kuripoti Shule ya Polisi Moshi kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania.
Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana wote waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Nchini kuwa wanatakiwa kuripoti Shule ya Polisi Moshi kuanzia tarehe 30/09/2024 hadi tarehe 02/10/2024 kwa ajili
ya kuhudhuria mafunzo. Bonyeza hapa chini kuona majina yote.
Kwa maelezo zaidi bofya HAPA