WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema sekta ya uvuvi inaingiza mapato ya sh. trilioni 2.94 kwa mwaka na...
KITAIFA
MWINJILISTI Silvanus Ngemera amekuja na ujio mpya wa dhehebu linalojulikana kwa jina la African Orthodox Derekh ambapo...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Jumatano Septemba 11, 2024 anatarajiwa kuzindua...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 11, 2024 amemuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi...
Msafara wa Umoja wa Mataifa uliokuwa umebeba wafanyakazi kwa ajili ya kampeni ya chanjo ya polio huko...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na...
Mradi wa Ubunifu wa FUNGUO unaotekelezwa na UNDP hapa Tanzania kwa ufadhili wa na Umoja wa Ulaya na mfuko waIMBEJU wa CRDB Bank Foundation, imeamua kushirikiana ili kubadilisha mwenendo wa ufadhili wa wajasiriamali wabunifuhapa nchini. Ushirikiano huu wa kimkakati unalenga kutumiaruzuku inayotolewa na Umoja wa Ulaya kwa kampuni changa nakufungua fursa ya kupata mikopo ya riba na masharti nafuukutoka kwa CRDB Bank Foundation, ili kuongeza uwezo wakimtaji kuwawezesha wajasiriamali kukua kwa haraka zaidi. Tangu kuanziswa kwake mwaka 2022 kwa ufadhili kutoka Umoja wa Ulaya kupitia mpango wa BEGIN unaoratibiwa na kitengacha mazingira ya biashara katika Ofisi ya Rais – Mipango naUwezeshaji, FUNGUO imewekeza zaidi ya TZS bilioni 3.8 katika kampuni changa 43, ikichangia katika kutengeneza nakuendeleza takribani ajira 4000 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa kwa vijana wa Tanzania. Dhamira ya mpango huu nikuongeza idadi ya kampuni za ubunifu zenye uwezo wa kustawiharaka ili kuharakisha kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevuya Tanzania. Wafadhili wengine wa mradi wa FUNGUO nipamoja na Serikali ya Uingereza kupitia mpango wa Africa Technology and Innovation Partnerships (ATIP) na UNDP katikamkakati wake wa kuwawezesha vijana kiuchumi. Mwaka huu, FUNGUO imepanga kutoa hadi TZS bilioni 1.4, ikilenga kwa makusudi kuwawezesha wanawake walioanzishabiashara zenye ubunifu ndani yake....
WANAFUNZI 45,693 mkoani Shinyanga, wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya darasa la saba, huku Mkuu wa...